Wazazi kutoka Kwale watakiwa kuwapeleka wana wao katika vyuo vya ufundi

  • | Citizen TV
    62 views

    Wazazi katika kaunti ya Kwale wametakiwa kuwapeleka vijana wao kwenye taasisi za kiufundi ili kukabiliana na tatizo la utovu wa usalama unaosababishwa na makundi ya kihalifu ya vijana wadogo.