Wakala wa kusafirisha watu ughaibuni anaswa Mombasa

  • | Citizen TV
    4,606 views

    Maafisa Wa Polisi Wanamzuilia Wakala Wa Kusafirisha Wakenya Ughaibuni Kwa Tuhuma Za Kuwalaghai Wakenya Wanaotafuta Ajira Katika Mataifa Ya Nje. Mshukiwa Huyo Alikamatwa Hapo Jana Na Anatazamiwa Kufikishwa Kizimbani Hii Leo.