Kaunti ya Kilifi yaendeleza kuboresha barabara mitaani

  • | Citizen TV
    281 views

    Serikali ya kaunti ya Kilifi imeanzisha mipango ya kuimarisha miundo misingi haswa ya barabara katika miji midogo midogo ndani ya kaunti hiyo Kama njia moja ya kuvutia wawekezaji na kuwezesha ukuaji wa biashara.