Wakaazi Wa Mbotela Washiriki Maandamano Ya Amani

  • | TV 47
    81 views

    Shughuli za usafiri zilitatizika katika barabara ya Jogoo hapa jijini Nairobi baada ya wakaazi kufanya maandamano ya amani kulalamikia unyakuzi wa ardhi na kufurushwa katika makazi yao katika Eneo la Mbotela, Kaunti ya Nairobi.

    #TV47Wikendi #TV47WeekendEdition

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __