Familia ya Merry Triza aliyepigwa risasi ki makosa yalilia haki Mombasa

  • | K24 Video
    72 views

    Mashirika ya kijamii na familia ya Merry Triza mwenye umiri wa miaka 30 aliyepigwa risasi ki makosa katika mzozo kati ya mwendeshaji bodaboda na jamaa anayedaiwa kuwa afisa wa KDF inalilia haki baada ya mpendwa wao kufariki akipokea matibabu katika hospitali kuu ya Mombasa-Coast general haya yanajiri huku maafisa wa polisi wakiendeleza msako dhidi ya magenge ya uhalifu Mombasa.