Rais Ruto ajibu matamshi ya mtangulizi wake Uhuru Kenyatta

  • | Citizen TV
    28,133 views

    Rais William Ruto ametaja matamshi ya mtangulizi wake rais mstaafu uhuru kenyatta ya kutaka vijana wa gen z kupigania haki zao kama matamshi ya uchochezi na ambayo yanaweza kusababisha vurugu. Rais ruto huku akiwataka vijana kupuuza matamshi hayo pia amesema utovu wa nidhamu na madili miongoni mwa vijana unaongezeka kwa kasi. Rais ruto alizungumza haya kwenye siku ya kwanza ya ziara yake eneo la magharibi.