Salome Wanjiru ameachiliwa kwa dhamana ya shilingi elfu 300 baada ya mauaji ya Conrad Nyabuto

  • | Citizen TV
    436 views

    Salome Wanjiru ameachiliwa kwa dhamana ya ksh. 300,000 hii ni baada ya kushtakiwa kwa mauaji ya Conrad Nyabuto, anadaiwa kumdunga kisu nyabuto mara 27 na alihurusiwa na mahakama siku 30 kupata matibabu