Rais Ruto: Nitawashinda wanaonikashifu kwenye uchaguzi

  • | Citizen TV
    9,179 views

    Rais william ruto sasa anasema atawashinda wapinzani wake na wanaomkashifu mitandaoni, katika uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027. Akizungumza huko kaunti ya kakamega, rais ruto ambaye alionekana kuwa kwenye msururu wa kampeni eneo la magharibi, amesema hatafuti sifa na kuwa yuko kazini kutimiza ahadi zake kwa wakenya.