Mauaji ya wanawake Homa Bay yalaaniwa

  • | KBC Video
    3 views

    Viongozi wa kina mama katika kaunti ya Homa Bay wameshutumu visa vya hivi majuzi vya mauaji ya kina mama vilivyotokea mwishoni mwa wiki na kutoa wito wa kudumishwa kwa usalama katika eneo hilo. Akigusia visa hivyo, mbunge wa Suba Kaskazini, Millie Odhiambo alikariri haja ya kuhakikisha wahanga wa dhuluma hizo wanapata huku washukiwa wakiadhibiwa vikali. Mwakilishi wa kina mama kaunti ya Homa Bay Joyce Osogo alikairi wito huo na kumhimiza kamishna wa kaunti hiyo pamoja na viongozi wa eneo hilo kushirikiana katika kuhakikisha usalama unadumishwa.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive