Miradi iliyokwama Migori kukamilishwa

  • | KBC Video
    16 views

    Halmashauri ya ustawishaji miradi ya maji katika eneo la Kusini mwa ziwa Victoria imezindua mpango wa kukamilisha miradi yote ya maji ya maii iliyokwama katika eneo hilo. Mhandisi Paul Agwanda aliyekuwa akizundua mradi wa maji katika kijiji cha Nyambija eneo la Awendo kaunti ya Migori alieleza kuwa mpango huo utasaidia halmashauri hiyo kuafikia lengo lake la usambazaji asilimia-90 ya maji katika eneo hilo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive