Mzozo kiwanda mumias : Wakulima wa miwa walalamika

  • | KBC Video
    12 views

    Kundi la wawakilishi wadi wa kaunti ya Kakamega limekosoa hatua ya kampuni ya Sarai inayosimamia kiwanda cha sukari cha Mumias ya kuzuia wakulima wa kampuni ya sukari ya West Kenya kuingia kiwandani humo licha ya agizo la Rais. Wawakilishi wadi hao wamedai kuwa wenzao kutoka eneo la nyanda za chini wanatumiwa na kampuni ya Mumias Sugar kufadhili maandamano .Matamshi yao yanajiri baada ya kundi moja la wabunge kuongoza maandamano kuingia katika kiwanda hicho kwa fujo na kuwalazimisha maafisa wa usalama kuondoka.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive