Wakazi wataka chuo cha Anwai First Kakamega kikamilishwe

  • | KBC Video
    4 views

    Wanafunzi wa chuo kikuu cha Anwai First na wakazi wa eneobunge la Kwanza katika kaunti ya Trans-Nzoia wanalalamikia kusitishwa kwa ujenzi wa jengo kuu la chuo hicho;Wanafunzi hao walisema kuwa kuendelea kucheleweshwa kwa mradi huo kumeathiri masomo yao na wanatoa wito kwa serikali kusuluhisha suala hilo haraka iwezekanavyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive