Ifahamu china : uzalishaji mpunga

  • | KBC Video
    26 views

    Katika makala yetu kuhusu Ifahamu china, mpunga wa kudumu ni sehemu ya mpango wa utoshelevu wa chakula kati ya China na Uganda. Wataalamu wanasema mpango huu unaweza kubadilisha hatima ya bara hili ambalo mamilioni ya watu bado wanakabiliwa na njaa kila siku. Jacob Mogoa amekuwa akifuatilia ushirikiano kuhusu mpango huu wa utoshelevu wa chakula kati ya China na Uganda na kutuandalia taarifa ifuatayo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive