Kamikaze: Vibaka walioshindikana Uingereza

  • | BBC Swahili
    52 views
    Wizi huu wa 'Kamikaze' uhusisha uvamizi wa maduka ambapo mhalifu anafanya wizi wa kuvunja rafu za kuweka bidhaa na kuiba bila kificho wala kufunika sura mbele ya wateja na wafanyakazi wa duka Uhalifu huu umeshindwa kudhibitiwa na wezi hawa hawana wasiwasi kuhusu madhara yoyote, Je mtaani kwako umeshuhudia wizi kama huu? #bbcswahili #uingereza #wiziuingereza Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw