Zahanati ya Mukuyu, Murang’a yafunguliwa

  • | KBC Video
    4 views

    Serikali ya kaunti yaMurang’a imefungua zahanati mpya katika soko la Mukuyu viungani mwa mji wa Murang’a kwa lengo la kupunguza msongamano wa wagonjwa kwenye hospitali ya Murang’a Level 5 na kupeleka huduma za matibabu karibu na maelfu ya wakazi nyanjani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive