Wanaomiliki silaha haramu waagizwa kuzisalimisha

  • | Citizen TV
    124 views

    Wakaazi wa Kata ya Sasur eneo bunge la Mlima Elgon kaunti ya Bungoma wanaomiliki silaha haramu wametakiwa kuziwasilisha kwa hiari katika vituo vya polisi la sivyo wakabiliwe na kisheria