Serikali yalenga kuanzisha utoaji wa chakula cha mifugo

  • | Citizen TV
    115 views

    Serikali ya Kenya inanuia kuanzisha utoaji wa chakula cha mifugo katika maeneo ya kaskazini mwa nchi kama njia moja ya kuboresha uchumi na kudusha amani katika maeneo ya ufugaji