Hakimu Julias Nangea atarajiwa kutoa mwelekeo katika kesi ya kupotea Kwa Brian Odhiambo

  • | Citizen TV
    1,023 views

    Hakimu Julias Nangea anatarajiwa kutoa mwelekeo katika kesi ya kupotea Kwa Brian Odhiambo. Brian alipotea tarehe kumi na nane mwezi Januari baada ya kudaiwa kukamatwa na maafisa wa huduma za wanyamapori katika mbuga ya Ziwa Nakuru. siku ishirini baadaye, brian bado hajulikani aliko. Evans Asiba Yuko katika mahakama hiyo ya Nakuru na Sasa anaungana nasi mubashara akiwa anazungumza na Wakili wa familia Mogondi Abuya.