Viongozi wameswashutumu maafisa wa bima ya matibabu ya SHA .

  • | KBC Video
    29 views

    Viongozi katika kaunti ya Migori wameswashutumu maafisa wa mpango wa bima ya matibabu ya SHA kwa kuhujumu utekelezaji wa bima ya afya . Akiongea wakati wa sherehe ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali ya matibabu maalum ya Kegonga utakaogharimu shilingi milioni 700, viongozi hao wameelezea wasiwasi kuwa baadhi ya maafisa wa mpango huo wamekuwa wakihujumu utekelezaji wa mpango wa SHA

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive