Wanajeshi wa Uganda wanaowahangaisha wakenya ziwani Victoria wakamatwa

  • | Citizen TV
    350 views

    Maafisa Wawili Wa Jeshi La Uganda -Updf- Wanazuiliwa Katika Kituo Cha Polisi Cha Port Victoria Baada Ya Kukamatwa Na Maafisa Wa Kijeshi Wanaolinda Ziwa Victoria Katika Kisiwa Cha Sumba Eneo Bunge La Budalang’i Kaunti Ya Busia.