PS Tanui : Niko hapo kufungua rasmi wiki ya siku ya radio duniani

  • | KBC Video
    10 views

    Eng. John Tanui : Tunafurahia sana kazi ambayo radio inafanya kote duniani, zaidi ya radio 45,000 zinahudumia watu. Hili wiki tunasherehekea siku ya radio duniani. Niko hapo kufungua rasmi wiki ya siku ya radio duniani.