Waziri Kipchumba Murkomen Asema Dawa Za Kulevya Zilichangia Maandamano Ya Gen Z

  • | TV 47
    84 views

    Waziri Kipchumba Murkomen Asema Dawa Za Kulevya Zilichangia Vijana Kukaidi Serikali Wakati Wa Maandamano Ya Gen Z

    Waziri Wa Usalama Kipchumba Murkomen sasa anasema kwamba mihadarati na dawa za kulevya zinachangia pakubwa ukaidi wa vijana kwa serikali kuanzia wakati wa maandamano ya kupinga sera za serikali mwaka jana.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __