Waititu ahukumiwa miaka 12 kwa wizi wa milioni 500 za umma

  • | NTV Video
    2,276 views

    Aliyekuwa gavana wa Kiambu Ferdinand Waititu amehukumiwa kifungo cha miaka 12 gerezani. Waititu na mkewe Susan Wangari pamoja na jamaa aliyehudumu katika serikali yake na hata wafanyabiashara walipata hukumu hiyo kutokana na sakata ya wizi wa zaidi shilingi milioni 500, pesa za umma.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya