Matumaini ya familia Kisumu kumzika mpendwa wao yamekwama kutokana na kesi ya ardhi

  • | NTV Video
    395 views

    Matumaini ya familia mmoja huko Kisumu ya kumpa mpendwa wao mazishi ya heshima, miezi kumi na mmoja baada ya kifo chake, sasa yamekwama kutokana na kesi inayoendelea ya mzozo wa ardhi mahakamani.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya