"Panga njama ufukuze Martha Koome na wewe usikanyage Meru tena!," Gachagua atoa aonyo kwa Rais

  • | K24 Video
    44 views

    Aliyekuwa naibu rais Rigathi Gachagua ameonya dhidi ya njama yoyote ya kumng'atua jaji mkuu Martha Koome akidai kuwa ni njama kuu ya kutenga eneo la mlima Kenya, Gachagua ameoneka kumchemkia Rais Ruto akimuonya dhidi ya kukanyaga Meru iwapo atambandua jaji mkuu Martha Koome