Oscar Korir aliyepata alama ya A- ashindwa kujiunga na chuo kikuu cha JKUAT kusomea udaktari

  • | Citizen TV
    624 views

    Ndoto Ya Kijana Mmoja Ya Kuwa Daktari Inazidi Kudidimia Baada Ya Kijana Huyo Kushindw Akujiunga Na Chuo Kikuu Cha Jomo Kenyatta Ambako Aliteuliwa Kusomea Taaluma Hiyo. Oscar Koriri Alipata Alama Ya (A- ) Katika Mtihani Wa Kcse Mwaka Wa 2023 Lakini Hadi Sasa Hajaweza Kumudu Karo Inayohitajika. Na Kama Anavyoarifu Evans Asiba, Oscar Anafanya Kazi Ya Kuosha Magari Akitumai Kupata Pesa Za Kutosha Kutimiza Ndoto Yake.