Maafisa wa serikali ya kaunti ya Bomet walitembelea vituo vya afya katika kaunti ya Kirinyaga

  • | KBC Video
    56 views

    Maafisa wa serikali ya kaunti ya Bomet walitembelea vituo vya afya na miradi ya maji katika kaunti ya Kirinyaga wakitaka kujifahamisha mengi kuhusu kuboresha utoaji huduma.Ujumbe huo ulioongozwa na waziri wa huduma za afya na matibabu wa kaunti ya Bomet, Dr. Joseph Sitonik, ulizuru hospitali ya kaunti ya Kerugoya na hospitali iliyojengwa upya ya Kimbimbi. Sitonik alisema huduma za afya katika kaunti ya Kirinyaga zimeimarika pakubwa huku muundo mbinu wa utoaji huduma ukiboreshwa, hali inayozipa moyo kaunti nyingine kujifunza zaidi kuhusu utendakazi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive