Wakulima wapewa mafunzo ya kuboresha kilimo na ufugaji.

  • | Citizen TV
    125 views

    Serikali ya kaunti ya Laikipia imeingia katika makubaliano na washikadau tofauti katika sekta ya kilimo kwa lengo la kuboresha uzalishaji wa mazao na kuboresha aina ya mifugo