Gachagua: Mpango wetu mkubwa ni kumuondoa mamlakani Rais Ruto

  • | K24 Video
    144 views

    Aliyekuwa naibu wa rais Rigathi Gachagua akiandamana na wabunge, na maseneta kutoka mlima Kenya na Ukambani wamekuwa eneo la Machakos ambapo siasa za ndoa ya kisiasa kati ya gachagua na kiongozi wa wiper Kalonzo Musyoka zilisheheni.viongozi wakitumia fursa yao kumrahi kiongozi wa ODM Raila Odinga kutodhubutu kufanya muungano wowote wa kisiasa na rais William Ruto wakisema amepoteza ladha kwa wakenya.