Wakulima kaunti ya Busia wafaidi ruzuku ya KSh 24M

  • | Citizen TV
    279 views

    Wakulima kaunti ya Busia wamepokezwa ruzuku ya kilimo ambapo makundi 35 yalinufaika na mgao wa shilingi milioni 24