Wanaharakati walalamikia dharau kwa mahakama

  • | Citizen TV
    240 views

    Taasisi ya uchaguzi na sheria Elgia pamoja na mashirika ya kutetea haki za binadamu yamelalamikia kuongezeka kwa visa vya mara kwa mara vya kudharau idara ya mahakama, ikiwemo kwenda kinyume na maagizo ya mahakama