Avuta treni ya tani 279 kwa meno

  • | BBC Swahili
    368 views
    Tazama namna Mwanamieleka huyu wa Misri alivyovuta treni kwa meno Mwanamieleka huyo amevunja rekodi ya dunia kwa kuivuta treni ya tani 279 kwa meno yake. Je wewe unaweza kuvuta kitu chenye uzito kiasi gani? #bbcswahili #misri #rekodiyadunia Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw