Matibabu katika hospitali ya rufaa ya Vihiga waanza mgomo wao

  • | Citizen TV
    286 views

    Shughuli za matibabu katika hospitali ya rufaa ya Vihiga zimekatizwa baada ya madaktari na wauguzi kudinda kufanya kazi kwa okusefu wa baadhi ya vifaa muhimu za kazi ikiwemo madawa