Sudan: Vita visivyoisha Afrika vinaelekea wapi?

  • | BBC Swahili
    1,403 views
    Kwa zaidi ya miongo miwili, eneo la Darfur nchini Sudan limekuwa kitovu cha vita vilivyoikumba nchi hiyo. Leo, mgogoro huo umebadilika, huku majenerali wawili wa jeshi wakihusika katika mapambano ya madaraka wakitafuta udhibiti. - Rasilimali za thamani za Darfur na njia zake muhimu za biashara zimeifanya kuwa ardhi inayomezewa mate. - Hata hivyo, ghasia za kikabila na maslahi ya kimataifa zimeugeuza ukanda huo kuwa kitovu cha machafuko, ambapo njaa na mauaji ya kimbari yanaendelea kwa mara nyingine tena. 00:01 Utangulizi wa Darfur 01:05 Historia fupi, nani anapigana na imefikaje hapa 02:43 Eneo la kimkakati 08:19 Vurugu za kikabila 12:33 Hali ya kibinadamu 14:50 Athari ya vita mpaka sasa 15:55 Hali ilivyo Sudan kwa sasa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw