Chanzo cha mpasuko kati ya Ruto na Gachagua

  • | BBC Swahili
    8,022 views
    Rais William Ruto wa Kenya amesema alijaribu kumsaidia aliyekuwa naibu wake Rigathi Gachagua dhidi ya kutimuliwa madarakani mara mbili. Katika mahojiano na waandishi wa habari nchini Kenya, Ruto amesema kwamba Gachagua aliteta na watu tofuati katika serikali wakiwemo wabunge nchini katika kipindi kuelekea kuelekea kutimuliwa kwake madarakani. Baada ya kura hiyo mnamo Oktoba 2024, Gachagua alimshutumu Rais William Ruto na kudai kuwa amesaliti makubaliano waliokuwa nayo kabla ya kuingia madarakani mwaka 2022. #bbcswahili #kenya #siasa #williamruto Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw