"Sio kazi yangu kuwataka washiriki uchaguzi"

  • | BBC Swahili
    16,056 views
    "Sio kazi yangu kuwataka washiriki uchaguzi lakini je mawazo yao yanatekelezeka kwa kipindi hiki? ni dhahiri mtu anapodai kitu ambacho hakiwezekani unajiuliza dhamira yake ni nini? Waziri wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Tanzania, George Simbachawene, akieleza kuwa madai ya Chama cha Upinzani nchini Tanzania Chadema kuhusu Uchaguzi wa Oktoba 2025 hayawezi kutekelezwa kwa kipindi kifupi kilichobaki #bbcswahili #tanzania #chadema Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw