Familia yalilia haki baada ya binti yao kuaga dunia

  • | Citizen TV
    1,119 views

    Familia moja katika mtaa wa Kayole inalilia haki baada ya binti yao Teresa Matoke kufariki dunia wakidai kuwa alipigwa na mumewe