Familia ya waliouawa Kisii yaishi kwa uwoga mwingi

  • | Citizen TV
    2,167 views

    Jamaa za Familia ya watu watano waliouwawa kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya kijana mmoja huko Masimba, kaunti ya Kisii wanahofia maisha yao. Walionusurika kuuwawa wametafuta hifadhi katika kituo cha polisi cha Kisii wakihofia kuuwawa