Murkomen asema polisi walizuia maafa zaidi Rongo

  • | Citizen TV
    850 views

    Waziri wa Usalama Kipchumba Murkomen amesema kwamba machifu na wasaidizi wao katika eneo la Rongo watawajibishwa kuhusu vifo vya watu wawili katika kanisa la Melkio St. Joseph Missions of Messaiha Afrika