5 Nov 2025 10:59 am | Citizen TV 64 views Duration: 1:36 Kaunti ya Nandi kwa ushirikiano na Gersthofen City Youth Orchestra kutoka Ujerumani, imeandaa tamasha ya kitamaduni ili kuimarisha uhusiano kati ya jamii hizo mbili.