13 Nov 2025 10:19 am | Citizen TV 790 views Duration: 1:00 Afisa wa polisi aliyepoteza Bunduki aina ya G3 ikiwa na risasi 17 mapema mwezi huu, alikana amshtaka dhidi yake alipofikishwa kizimbani katika mahakama ya Bomet.