13 Nov 2025 10:39 am | Citizen TV 216 views Duration: 1:25 Kaunti ya Nyamira inakabiliwa na changamoto za ufadhili, kufuatia kuondolewa kwa ufadhili wa miradi mbalimbali ya afya uliokuwa unatolewa na serikali ya Marekani kupitia shirika la USAID.