- 1,580 viewsDuration: 1:32Waziri wa madini Ali Hassan Joho amewahakikishia Wakenya kuwa uchombaji wa madini ya dhahabu yaliyopatikana Ikolomani, kaunti ya Kakamega utafanywa kwa uwazi. Akizungumza kwenye mahojiano ya Maskani na Rashid , Joho aliwataka wakenya kuiruhusu serikali kutumia raslimali zilizopo nchini kubadilisha hali yao ya kiuchumi. Aidha Joho ameonya dhidi ya siasa kutumiwa kutishia uwekezaji.