Bunduki 23 zimetwaliwa kutoka kwa raia wa Bonde la Ufa

  • | Citizen TV
    4,242 views

    Wiki moja baada ya operesheni ya kiusalama kuanza rasmi kwenye maeneo sita yaliyoripotiwa kuwa na ukosefu wa usalama, mratibu wa bonde la ufa Dkt .Abdi Hassan amesema kuwa bunduki ishirini na tatu zimesalimishwa na wahalifu huku akionya kuwa operesheni hiyo itawatoa wahalifu hao walikojificha.