Waandamanaji DRC wailamu Ufaransa, wadai inawasaidia waasi

  • | VOA Swahili
    1,177 views
    Baadhi ya wananchi wa Goma, DRC waandamana kabla ya kuwasili kwa Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron wakidai kuwa Ufaransa ndiyo inawapatia waasi wa M23 kutoka Rwanda silaha kuja kushambulia nchi yao. #dunianileo #drc #waandamanaji #bendera #rais #ufaransa #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.