Rais William Ruto hii leo alipokea stakabadhi za utambulisho kutoka kwa mabalozi wanane ambao sasa watawakilisha mataifa yao hapa Kenya. Kwa mara ya kwanza, mabalozi wa Slovenia na Uzbekistan pia waliwasilisha stakabadhi zao. Kiongozi wa taifa aliwaidhinisha mabalozi hao kuendeleza matakwa ya nchi zao katika himaya za Kenya, kwa kukuza ushirikiano na maazimio ya mataifa hayo mawili.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive