Inooro FM yatumbuisha wasikilizaji wake Nyeri kwenye shamrashamra za kurehekea miaka 21

  • | Citizen TV
    373 views

    Wasikilizaji wa kituo Cha inooro fm mojawapo ya stesheni za redio chini ya mwavuli wa royal media services walipata nafasi ya kipekee kujumuika na watangazaji wanaowaenzi wa kituo hicho katika kaunti ya Nyeri. Wasikilizaji hao waliopata burudani Kutoka Kwa waimbaji wanaoongoza Katika Eneo hili wanasema wanatazamia mwongo mwingine wa vipindi vinanyowaelimisha , vinanyowajuza na kuwatumbuiza Huku wakitarajia vipindi vipya vinanvyozungumzia maswala yanayowahusu. Inooro fm inaadhimisha miaka 21 tangu kuasisiwa.