Wadau watoa wito wa kuboresha masomo katika vyuo vya kiufundi

  • | Citizen TV
    53 views

    Wadau mbalimbali wanaendelea kutoa wito kwa serikali kuboresha miundo msingi katika vyuo vya kiufundi kote nchini ili kupiga jeki sekta hiyo. Hayo yanajiri, wakati maelfu ya vijana waliopitia vyuo vya kiufundi wakielezea mikakati waliyoiweka kukabiliana na ukosefu wa kazi.