Maadhimisho ya siku ya vijana

  • | Citizen TV
    118 views

    Hii Leo ikiwa ni siku ya vijana duniani, maadhimisho yanaendelea mjini Nakuru ambapo vijana wameandaa maonyesho yanayofungamana na kilimo biashara kama njia moja ya kubuni nafasi za ajira nchini.