"Uhuru ndio alinipigia simu akasema nitafute Ruto tuongee."- Raila

  • | K24 Video
    800 views

    Wakati nchi ilikuwa inachomeka, Uhuru alinipigia simu, akaniambia tafuta Bwana Ruto uongee na yeye. Kenya Ikichomeka hatutakuwa na nchi ingine,” Raila